Wito umetolewa kwa mapadre kuishi wito wao na kumtukuza mungu katika kukuza imani zao
akiongea na kituo hiki wakati anaadhimisha miaka 34 ya ubadhirisho wake askofu Dominic Kimengich amewaeleza mapdre umuhimu wa kusimama imara katika kuendeleleza kazi ya kanisa
amewataka mapdre hawa kujivunia wito huu kwa vile ni wenye baraka katika nyuma ya mungu na pia kuendeleza ujumbe wa mungu kwa wakristo.
hata hivyo amewahimiza wazazi kusimama na wanao kwa kuwaombea wanapoenyesha nia ya kuwa padre kuwa ni baraka kwa familia na jamii kwa jumla.