amewataka kuombea utu kwa kila mtu ili wawe wenye kuwakumbuka wasiojiweza katika jamii.
amesema kuwa kama wakristo waishi kwa pamoja kupitia kuinua kila mmoja na kuendeleza injili yake mungu.
wito umetolewa kwa wakristo kuwajali jirani wao kwa kuonyesha upendo kwao kila wakati.
katika homilia ya moja kwa moja kupitia misa ya asubuhi padre dismus kutto amewahimiza wakrsto kuwajali wenzao kupitia usaidizi kwao na pia kuwa karibu nao kuwapa moyo kutokana na changamoto wanazopitia maishani.