wakristo wameshauriwa kumtafuta kristo maishani mwao katika kupata heri ya ya kuishi tena.
katika homilia yake padre paul idiama amewataka wakristo kutenga muda wa kumtafuta kristo kupitia sala na kupata huduma yake kutoka kanisani ili kujenga imani yao.
amesema kuwa njia bora pekee ya kupata baraka ni kurudi kwake yesu kristo na kutembea kwa utakakatifu wake milele na hivyo kama wakristo tufanye hivyo kwa kuwatembelea pia wazazi wetu tupate kuinuliwa na kuishi maisha mema