Kamati ya kukabili janga la virusi vya corona kwenye kaunti hii ya Uaisn gishu, imefunga jengo lenye orofa 14 la KVDA haya yanajiri baada ya kuripotiwa waathiriwa kadhaa kutokana na virusi vya corona.
Huduma zilishuhudiwa kisitishwa ndani ya majengo hayo yalio na afisi nyingi za serikali huku waathiriwa za serikali wakti wakidaiwa kutoka katika afisi za idara ya mashtaka ya umma.
Kwa sasa miradi yote ambayo inaendeshwa na mamlaka ya maendeleo eneo la Kerio Valley ikisitishwa kwa muda kutokana na hatua hio.