Askofu Kimengich; Tukatae ufisadi

Wito umetolewa kwa viongozi kutoka wizara mbalimbali nchini kushughulikia wananchi ipasavyo pasipo na ufisadi.

Kwa mujibu wa askofu wa jimbo hili Dominic Kimegich amesema kuwa ni furaha kwake kwa bajeti kusomwa hapo jana na fedha kutengwa katika wizara mbalimbali ili kumsaidia mwananchi wa kawaida  ila viongozi wengi wametanguliza ufisadi na manufaa yao pekee bila kumjali mwanachi.

Amewarai viongozi kuhakikisha ya kwamba fedha zilizotengwa haswa wizara ya kilimo na elimu imewafaidi wahusika vilivyo . Hata hivyo amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele katika kuleta maendeleo pasipo kubomoa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *