Gavana Sang; Asante Askofu Kimengich

Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang, amesifia askofu wa jimbo la Eldoret Dominic Kimegich kwa kuipa swala la elimu kipau mbele katika kaunti yake.

Amesema kuwa ushirikiano wake na viongozi katika kuhakikisha kwamba wanafunzi wanapata elimu bora ni dhihirisho wazi kwamba askofu anaenzi elimu katika jamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *