Wito umetolewa kwa wanafunzi kutia fora katika masomo yao

Askofu wa jimbo katoliki la Eldoret Dominik Kimegich amewataka wanafunzi kuwa mstari wa mbele katika kutia bidii masomo mwao na kuwa katika nafasi bora ya kujisimamia katika siku za usoni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *