Wazazi ndio kielelezo muhimu katika maisha ya wanao

Wazazi ndio kielelezo muhimu katika maisha ya wanao katika imani ya kidini

Akizungumza katika kanisa la holy spirit of langas padre sato arata amewarai wazazi Kuhakikisha ya kwamba wanajenga imani ya watoto wao kidini kwa kuelekeza kwa njia inayostahili kila kuchao kwa maisha yao.

 Amewaomba wazazi kuwashauri watoto wao kila kati ili waepukane na njia za kuwapotosha na kuwaweka katika njia panda .  Hata hivyo amewataka vijana pia kujiepusha na njia potovu na kufuata maadili ya kidini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *