Uwazi ulitoweka

Mwakilishi wa kina mama katika kaunti ya Elgeiyo Marakwet Carolyn Ngelechei ameskosoa matokeo yalitolewa na kamati ya bunge iliyomnasua waziri wa kilimo Mithika Linturi kufuatia sakata ya mbolea ghushi.

Mwakilishi huyo ametia doa ripoti iliyomweka huru waziri huyo akisema kuwa waliwasaliti wakenya hasa wale waliouziwa mbolea ghushi.

Alisema kuwa iwapo mswada huo utawasilishwa bungeni Bado ataunga mkono kubanduliwa kwa waziri huyo ambaye anasema kuwa amezembea kazini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *