Kaa mbali na ardhi ya shule

Onyo imetolewa kwa viongozi wa kisiasa walio na Nia ya kunyakuwa vipande vya ardhi za shule zinazomilikiwa na kanisa katoliki kukoma.

Askofu wa jimbo katoliki la Eldoret Dominic Kimengich akihubiri katika uwanja wa shule ya holy Rosary Singo’re askofu amewataka viongozi kote nchini kuheshimu kanisa na taasisi ambazo zimeanzishwa na kanisa.

Alisema kuwa Kuna baadhi ya viongozi ambayo wanamezea mate ardhi za shule kwa lengo lao la kibinafsi kuheshimu sehemu hizo na badala yake watafute ardhi katika maeneo mengine mbali na sehemu za kukuza wanafunzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *