Viongozi wa kidini nchini wanazidi kutoa wito wa wakenya kumgeukia Mungu na kuomba kwa ajili ya janga la kuenea kwa virusi vya Corona
Haya yanajiri huku viongozi hao wakitangaza mikakati ambayo makanisa husika yamechukua katika harakati za kuzuia kueneo kwa virusi hivyo hatari.