USAID haupo ila huduma zipo

Usimamizi wa hospitali ya mafunzo na Rufaa Eldoret Umewahakikishia wagonjwa wa HIV/AIDs kwamba wataendelea kupata huduma bila hitlafu yoyote licha ya Marekani kusitisha ufadhili wake chini ya wakfu wa USAID.

Afisa mkurugenzi wa hospitali ya Moi Philip Kirwa amesema kwamba kufutwa kazi kwa wafanyikazi walikua wanahudumu chini ya mpango huo hautahitilafiana na shughuli za utoaji hudumu hasa AMPATH.

Alisema kwamba,ushirikiano baina ya hospitali hiyo na wizara ya afya utafanikisha utoaji wa huduma n ahata upatikanaji wa dawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *