Muwe Mwanga wa jamii

Askofu wa jimbo katoliki la Embu Peter Kimani ametoa wito kwa kanisa kuwa mwanga kwa wakenya ambao kwa sasa wamekata tamaa kutokana na changamoto za kimaisha.

Askofu Kimani anasema kwamba,maisha ya sasa yamejaa pandashuka ambayo imepelekea watu wengi kupoteza matumaini wengi wakijitia kitanzi kutokana na hali hiyo huku wengine wakionyesha ghadhabu zao kwa kutundika video au jumbe za chuki na uchungu kwenye mitando ya kijamii n ahata wengine wakijipata katika mtego wa mauaji.

Kadhalika,askofu Kimani ametioa wito kwa wakenya kujifunza uvumilivu kila wanapokumbana na changamoto hizo akitaka kila mmoja kukubali hali yake ya maisha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *