SHA mambo yote

Wakaazi katika kaunti ya Elgeyo-Marakwet wameshauriwa kuendelea kujiandikisha kwa mfumo mpya wa afya ya Social Health Authority SHA,ili waweze kupata huduma bora na ya bei nafuu.

kulingana na gavana wa kaunti hiyo Wesly Rotich mfumo wa SHA ingawaje kwa sasa inakabiliwa changamoto kidogo,itawafaa wakenya sana ikizingatiwa kwamba,inajumuisha matibabu ya magonjwa sugu,anayosema haikushuhudiwa kwenye bima ya afya ya zamani ya NHIF.

Amesema serikali yake inaendeleza mchakato wa kuwaandikisha wakaazi akiwataka wakaazi hao kujitokeza na kujipatia bima hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *