Talanta mnazo mbona mwakimnya?

Wakristu wametakiwa kutumia talanta walijaliwa na mwenyezi Mungu kuwasaidia na kuwashirikisha wengine.

Askofu wa jimbo katoliki la Bungoma Mark Kadima alisema kuwa japo Kila mmoja amejaliwa mapaji tofauti ipo haja ya wao kushirikiana na wengine ili kuafikia matakwa mbalimbali maishani.

Askofu Kadima kadhalika alitoa wito kwa wale walio na madaraka kutotumia nyadifa hizo kuwanyanyasa wenzao akitoa wito kwao kunyenyekea kama njia moja ya kupata karama ya mwenyezi Mungu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *