Wizara ya afya sasa imeondolea mbali wasiwasi kuhusiana na ugonjwa wa mpox, ulioripotiwa kuwa hatari Afrika.
Waziri wa afya Daktari Deborah Barasa amesema kuwa watu takriban 30 waliopimwa kwa dalili za ugonjwa huo wamepatikana kuwa salama bila ugonjwa huo.
Wizara hii pia imesema kuwa serikali itaanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa huu wa mpox kufikia mwisho wa mwaka huu.