Masomo maisha bora ya baadae

Wizara ya elimu nchini imeshauriwa kuunda jopo maalum la kuangazia kilichopelekea idadi ndogo ya wanafunzi kutuma maombi kwa vyuo vikuu nchini.

kulingana na mwenyekiti wa maimamu kaskazini mwa bonde la ufa Sheikh Abubakar Bini ni kwamba elimu ndio msingi bora kwa viongozi wa kesho na iwapo jamii itapuuza swala hili la wanaoendeleza masomo ya juu ikupungua basi kizazi kijacho hakitakua kimeafikia chochote kimasomo.

aliwataka washikadau mbalimbali katika wizara ya elimu kufanya hima kushughulikia swala hilo la sivyo taifa hili litasalia nyuma kwa uvumbuzi na wakuu ambao wanaouwezo kimasomo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *