Jukumukeni katika Familia

Wito umetolewa kwa wazazi kuwa na msingi bora kwa wanao hili waweze kuishi maisha yenye kuigwa na jamii.

Kulingana na padre Charles Kirui ni kwamba wazazi wengi wamesahau majukumu yao ya kuwajengea maisha bora wanao kwani anasema wengi wao wametelekeza majukumu yao saa analosema yawapasa kusimama imara na kuwashika mikono wanao katika kuwa viongozi wa kesho wenye mwelekeo bora maishani mwao.

aliwataka wazazi hao kuepuka kuwataja wanao kwa hulka zisizostahili akieleza kwamba endapo wanao watatumbukia kwenye njia mbaya ni kwa sababu ya wao kutamka maneno mabaya na ambayo yametimia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *