Maafisa katika idara ya jinsia katika kaunti ya Uasin Gishu wameelezea hofu ya ongezko la visa vya ulawiti ya watoto wa kiume kaunti .
Kwa kujibu wa mkurugenzi wa idara ya jinsia kaunti ya Uasin Gishu Linda Madegwa ni kwamba visa vingi hata hivyo vinakosa kuripotiwia kama inavyo faa ,huku baadhi ya visa hivyo vikifanyika shuleni .
Vilevile,Madegwa alisema kwamba baadhi visa hivyo utatuliwa kinyumbani na mwathiriwa kukosa haki.
mapema juma hili, maafisa wa usalama waliwatia mbaroni wanafunzi wa shule moja ya upili ambao video zao chafu za anasa zilizosambaa mitandaoni .