DINI NDANI YA KAUNTI

Viongozi wa madhehebu mbalimbali Kaunti ya Uasin Gishu wametoa pendekezo Kwa Serikali kuhangazia kuwepo Kwa afisi za viongozi wa dini ndani ya afisi za kaunti.

Wakiongea mjini Eldoret wakiongozwa Sheikh Abubakar Bini wanasema iwapo maswala ya Imani inapaswa kuimarishwa Kwa wanasiasa ndipo waweze kuwa mabalozi wa amani Kila wakati,sharti afisi hizo ziwepo.

Wakati huo, viongozi hao wanaitaka idara ya usalama hasa ya upelelezi iwe ya kuaminika Kwa kutoa maamuzi yake Kwa washukiwa wa uhalifu wowote ule iwe ya ufujaji wa Mali ya umma pasipo mapendeleo yoyote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *