Padre Kiptoo; Tuwatendee mema wenzetu

wakristo wamehimizwa kutenda mema kwa wenzao kila wakati katika kuimarisha uhusiano wao na mwenyezi mungu.

katika homilia ya moja kwa moja kwenye kanisa la moyo mtakatifu  wa  yesu hapa kathedrali padre david kiptoo

amesema kuwa wakrsto wanafaa kuwajali wenzao kupitia shukrani wakiwa bado wako hai kama njia ya kumshukuru mwenyezi mungu.

Amewahimiza wakristo watembee pamoja na wenzao katika safari ya  duniani  kwa kuwasaidia kwa kile watawaweza ili wapate Baraka kutoka kwa mwenyezi mungu.

 Amewaeleza umuhimu wa kushirikia pamoja kwa  kila jambo kama njia bora ya kujijenga kiimani na pia kutambua uwepo wa mungu kati yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *