Rais Kenyatta; Nitaweka Vikwazo zaidi

Rais uhuru kenyattta amesema kuwa ataweka vikwazo vikali zaidi vya kudhibiti maabukizi ya corona iwapo hatua hiyo itahitajika.

Amesema jukumu liko kwa kila mkenya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona katika kuhakikisha ya kwamba wanafuata masharti yaliyowekwa  na wizara ya afya ili kuzuia maambukizi na msambao zaidi wa virusi hivi hatari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *