Biashara ya Kinyozi yadorora Eldoret

Baadhi  ya wamiliki wa vinyozi mjini eldoret  kaunti ya uasingishu wamelalamikia kudorora kwa biashara kutokana na makali ya virusi vya corona.

Wamesema kuwa imekuwa ni vigumu kwao kuendeleza shughuli za kila siku kwa vile wameathrika pakubwa kwa ukosefu wa wateja na fedha  za kununua vifaa vya kuendesha biashara hizo.

 Wameskitia ni jinsi ngani watajinasua kkutoka kwa mtego huu wa mahangaiko iwapo hali ya maambukizi haitabdilika  nchini.

 Wmetaka serikali kufanya kila juhudu ili kudhibiti janga hili kwa mapema ili uchumi uweze kuimarika haswa katika sekta ya biashara  ambayo ndio pato lao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *