Baadhi ya wahudumu wa afya wa kituo cha kamalel kaunti ya uasigishu kilichotengwa kuwashughulikia wale wanaoetegwa kwa ajili ya virusi vya corona wakielezea changamoto wanazopitia.
Wamesema kuwa wao ndio huwa wa kwanza kutangamana na wagonjwa wanaogua maradhi mbalimbali wanapoletwa kwenye hospitali hiyo ikiwemo covid 19 wakihatarisha maisha yao Wamesema kuwa watajitolea kuwahudumia wagonjwa kutokana na kutiwa moyo kutoka kwa jamaa zao na mafunzo ambayo wamepewa