serikali ya kaunti ya homabay imenunua vifaa mpya vya kukinga maambukizi ya virusi vya corona vyenye thamani ya shillingi billion 3.8
vifaa hivyo vya kiafya vitasamba zwa katika vituo tisa vya afya kaunti hiyo
akiwakabidhi maafisa wa afya vifaa hivyo afisa mkuu wa afya kaunti hiyo eliud onyango ameelezea imani ya kupigwa jeki katika jitihada za wahudumu hao katika kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.