Askofu Kimengich; Tumrudie Mungu

Askofu wa jimbo hili Eldoret Dominich Kimengich amezidi kutoa wito kwa waumini kumrudia mwenyezi mungu na kufanya toba katika kipindi hichi cha kwaresma ili kuweze kufufuka pamoja naye Yesu Kristo katika kipindi cha pasaka.

Akiongea na kituo hiki mapema hii leo askofu Kimengich, pia amesema kuwa kipindi ya kwaresma kwa muumini wa kanisa katoliki ni hatua au safari ya toba na kutafuta njia iletayo neema ya mwenyezi mungu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *