Msako katika duka za madawa ukanda wa North Rift

Bodi ya wanafamasia imefanya msako ikizilenga duka za dawa ambazo hajizasaliwa katika ukanda wa North Rift shughuli ambayo ilingoa nanga kuanzia tarehe 23-28 mwezi huu wa Februari.

Wakiongozwa na idara ya usalama chini yake Abdirisack Jaldesa ambaye ni kaunti kamishna wa kaunti ya uasin gishu na  mkurugenzi wa ukaguzi, utekelezaji na uchunguzi Dkt Jacinta Wasike kwa poja wamefanikiwa kufunga duka 152 ambazo zinaendesha shughuli hio kinyume na sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *