Siasa za B.B.I, Kaunti ya Kitui

Siasa za BBI zimeendelea kirindima mkutano wa kuangazia mapendekezo ya ripoti hiyo ikipelekwa kwenye kaunti ya Kitui.

Viongozi wa kaunti wa eneo hilo la Ukambani wameratibu baadhi ya mapendekezo ambayo wangetaka iangaziwe kwa niaba ya wenyeji kutoka katika eneo la Ukambani yakiwemo maswala ya ajira utangamano na ajira. Akizungumza katika hafla hiyo kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amekariri kuwa nia yake na rais Uhuru Kenyatta ni kuawaunganisha wakenya na kuangazia changamoto wanazopitia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *