Wakaazi wa Airstrip, Busia wapuuza masharti ya kuzuia maambukizi ya corona

Serikali ya kaunti ya busia kupitia idara ya afya  imeeleza kusikitishwa na  hatua ya wenyeji haswa katika eneo la airstrip  mjini busia kupuuza masharti yaliyowekwa kuzuia maambukizi ya virusi vya corona licha ya idadi ya waathiriwa kuongezeka kila kuchao.

Mkurungenzi wa afya katika  serikali ya kaunti ya busia daktari Janerose Ambuchi amesema kwamba  licha ya kuwepo kwa mikakati za kupambana na  virusi vya corona  baadhi ya wanachi wamepuuza maagizo na kuendelea kutangamana haswa madereva wa lori bila kujali hatari iliopo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *