Ugumu uendelee kulipiwa

Chama cha walimu wa shule za msingi na vyuo vya kadri KUPPET kaunti ya Nandi wamepinga hatua ya kuondolewa kwa fedha wanayopewa walimu wanaohudumu kwenye maeneo yenye mazingira magumu.

Viongozi wa muungano huo wamesema kuwa haiwezekani kuwa serikali inapanga kuondoa fedha hizo na kamwe hawatokubali hatua hiyo, wakisema kuwa walimu wanaohudumu kwenye maeneo hayo hupitia changamoto nyingi.

Wametoa wito kwa serikali kuongeza orodha au idadi ya maneneo hyo yenye mazingira magumu katika maneo ya Tinderet, Nandi Kusini au Mosop Nandi Kaskazini na ya kati kwa kuwa kuongezwa kwa maeneo hayo yatasaidia kuboresha elimu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *