Elimu bora maisha bora

Washikadau wa elimu kaunti ya Nandi wametoa wito kwa serikali ya kitaifa kuangazia kwa kina ufadhili wa elimu kwa wanafunzi kutoka kwa familia zenye kipato cha chini.

Wakizungumza katika eneo bunge la Chesumei wakati wa kuwapokeza wanafunzi kadhaa basari ya shilling millioni mbili kwa minajili ya kujiwezesha,washikadau hao waemeeleza kwamba,serikali kuu ikishirkiana na mashirika yasiyo ya kiseriakli yatafanikisha ndoto ya wengi wa wanafunzi wenye nia ya kukata kiu ya masomo yao.

Wanasema kwamba ndoto za wanafunzi wengi yamezimwa kutokana na kile wanakosa wafadhili hivyo haja ya wao kusaidiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *