Kodi kwa maabadi

Wito umetolewa kwa serikali kuangazia kwa kina wazo lake la kutoza kodi maeneo ya maabadi kama njia moja ya kusaidia kanisa kuendelea na shughuli zake za maendeleo katika jamii.

Kwa mujibu wa viongozi wa kidini katika kaunti ya Vihiga,jopo lililopewa jukumu la kuangazia swala la matozo ya kodi kwa maeneo ya kuabudu yanapaswa kujadili ikizingatiwa kwamba kanisa limekuwa mstari wa mbele kuwashika mkono wanajamii kimaendeleo.

Wakiongozwa na Martin Chebole mwenyekiti wa madhehebu eneo hilo amesema kwamba,iwapo sheria za matozo kuelekea maabadi zikawa ngumu hata zaidi na kuzamisha shughuli nyingi za maendeleo katika jamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *