Yesu kiboko yao

ASkofu wa jimbo katoliki la Nakuru Cleophas Oseso Tuka amewataka wakristu kujisadaka bila kujibakisha katika kuuridhi ufalme wa mbingu.

Askofu Tuka alisema yawapasa wakristu kumpa nafasi yao mwenyezi mungu ndipo aweze kuwaongoza kwa kila jambo.

Alisema kwamba wengi wa wakristu wamemsahau kristu na wanapopitia magumu ya dunia wanashindwa kutambua kuwa wanaweza kuegemea mwenyezi mungu kila muda wa ugumu katika maisha yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *