Krisi ya wote

Kamishna wa kaunti ya Uasin Gishu Dkt Eddyson Nyale amewataka wakaazi wa kaunti hii kutangamana kwa umoja msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya.

Akizungmza na wanahabari mjini Eldoret Nyale amesisitza haja ya kuwa na undugu kwa kuwasaidia wasiojiweza na vile vile kuwaelekeza wanaoonekana kupoteza mwelekeo.

Wakati huo kamishna huyo wamewataka madereva wa magari ya uchukuzi na wale wa kibinafsi kuchukua tahadhari barabarani kama njia moja ya kupunguza ajali zinazoshuhudiwa kila mwaka kulekea msimu wa krismasi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *