FANYENI KAZI LA SIVYO MTAPIGWA KALAMU

Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang amewaonya mawaziri na maafisa wakuu  dhidi ya ufisadi  na utepetevu kazini ambao umechangia kuchelewa kwa huduma na miradi  mbalimbali kaunti hiyo.

Akizungumza mjini Kapsabet baada ya  kuongoza hafla ya kutia sahini mkataba  ya utendakazi baina ya mawaziri , wakurugenzi pamoja na maafisa wengine wakuu serikalini  gavana sang  ametoa ilani kwa baraza lake la mawaziri  na maafisa wakuu kwamba hatakosa kuwatimua kazini iwapo watalegeza majukumu yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *