MAIMAMU NORTH RIFT :Rais kwamua nchi

Baraza la maimamu kaskazini mwa bonde la Ufa linamtaka rais William Ruto kutumia nafasi yake kuwashawishi viongozi wa mataifa za nje kusaidia kutatua mzozo unaoikumba Ukraine na Urusi ili kukwamua mataifa duniani kutokana na kudodrora kwa uchumi.

Akiongea mjini Eldoret,mwenyekiti wa baraza hilo Sheikh Abubakar Bini alisema kwamba kufuatia hali ngumu ya maisha yastahili serikali kutafuta suluhu la haraka la sivyo umaskini litawameza wakenya.

Kadhalika,kiongozi huyo alisema kwamba viongozi wengine wa mataifa za nje wanastahili kuketi chini na kutafuta mbinu za kuokoa raia wake akidokeza kwamba hali imekua ngumu hata zaidi katika kusaka unga miongoni mwa wakenya kufuatia shillingi kukosa dhamana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *