Idara ya usalama pokot magharibi imelalamikia ongezeko la wenyeji wanaopuuza masharti ya kukabili virusi vya corona.
Ocpd Julius Chumbule anasema wengi wa wenyeji wa pokoti magharibi haswa maeneo ya mashinani hawazingatii sheria hizo licha ya mamia kutiwa mbaroni.
aidha ameahidi kuendesha oparesheni kukabili maeneo yanayokosa kuzingatia muda uliowekwa kuhudumu.