wakristo wameshauriwa kutosheka na kile kidogo wamebarikiwa nacho na kumtukuza Mungu.
Katika homilia yake padre Timothy Kiplagat amewataka wakrsto siku zote kujitolea kwa nyumba ya bwana kupitia shukrani kila wakati.
amewatahadharisha dhidi ya tamaa ya maisha kama chanzo cha dhambi inayomwelekeza mkristo katika hukumu isiyofaa
amewaeleza wakristo kuomba neema ya mwenyezi Mungu maishani mwao ili iwatakase na kuwapa mwelekeo thabiti kulingana na bibilia.