Hakuna atakayeshinikiza serikali kuwarejesha watoto shuleni .
ndio kauli ya waziri wa elimu prof George magoha anayesuta mashirika ya kimataifa unicef na who yanayoshinikiza serikali kurejesha watoto shuleni baada ya masomo kusitishwa kufuatia janga la corona.