Padre Pinto; Tufuate Imani ya kweli

Wakristo wa jimbo katoliki la eldoret wametakiwa kufuata imani za kweli wakati huu mgumu wa janga la corona.

Kwa mujibu wa padre pinto kutoka parokia ya kimumu kwenye misa ya moja kwa moja kupitia idhaa hii amewahiza wakristo kando na changamoto wanazopitia maishani waweze kukiri imani zao kila wakati. amewataka kufuata njia ya krsto kama njia bora ya kukuza imani zao haswa wakati huu mgumu.

Hata hivyo amemetoa wito kwao kuwa karibu na mungu ili washinde majaribu yote yanayowaaandama wakati huu wa janga la corona.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *