Mturuhusu Twende Makanisani Kwa Maombi

Baadhi ya wakaazi kutoka kaunti ya uasingishu wametaka serikali kuwaruhusu wakenya  kujumuika kwa pamoja  katika maombi kila jumapili  kwa makanisa   ili kumwomba mungu awaepushe na janga la corona.

Wamesema kuwa kanisa ndio kimbilio la kila jamii katika kupata suluhisho za shida zao  kila wakati. Wameelezea jinsi mikakati ya kutohudhuria kanisa imeathiri imani za wengi katika kuomba kwa pamoja huku wakisema wako tayari kuzingatia mikakati iliyowekwa na serikali ikiwemo kutokuwa kwa makundi makubwa na kuzingatia swala la usafi ili kuzuia maabukizi hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *