Wahudumu wa matatu Mjini Kimilili Waomba Kuhamasishwa Kuhusu Corona

Wahudumu wa matatu mjini Kimilili kaunti ya Bungoma wametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo kuzidisha uhamasisho kuhusiana na janga la virusi vya Corona.

Kupitia kwa katibu wao Benson Makokha wahudumu hao aidha amepongeza hatua ya kusambaziwa maji na sabuni na serikali ya kaunti ila akaitaka kuzidisha uhamasisho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *