Siasa za BBI

Kiongozi wa wengi katika bunge la senate Kipchumba Murkomen na mwenzake wa wachache James Orengo wameratibiwa hii leo kuwasilisha mapendekezo yao mbele ya kamati inayoendesha vikao kuhusu ripoti ya mpango wa upatanisho BBI.

Wawili hao wakiwa mawakili wenye ueleewa katika masuala ya sheria na katiba watakuwa wa kwanza mbele ya kamati hiyo wiki hii kabla ya kukamilisha vikao vyao wiki hii kabla ya kuandika ripoti. Misimamo kuhusu mirengo yao ya kisiasa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *