Matamshi Katika Mikutano ya BBI sasa Yakashifiwa

Baadhi ya viongozi kutoka bonde la ufa wamekashifu matamshi ya  baadhi ya viongozi siku ya jumamosi katika mkutano wa BBI kaunti ya Narok. 

Wakiongozwa na mbunge Wa Kapseret oscar Sudi, mbunge Wa Soy Caleb Kositany viongozi,speaker wa uasin gishu David Kiplagat na wakilishi wadi, viongozi hao anataka mkurugenzi wa DCI George kinoti kuchukulia hatua Senetor wa Narok ledama olekina kulingana na matamshi yake siku ya jumamosi.

Sudi amesema matamshi ya olekina ni ya uchochezi na hayastahili kutoka Kwa kiongozi yeyote humu nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *