KNUT tawi la Keiyo yaunga Mkono BBI

Chama cha walimu KNUT tawi la Keiyo kaunti ya Elgeyo marakwet imesema kuwa wanaunga mkono ripoti ya BBI.Wakiongozwa na katibu wa chama hicho Musa Busienei, walimu hao wanasema ripoti hiyo itaangazia changamoto ambazo walimu wanapitia humu nchini.Akiongea na wanahabari mjini Iten, Busienei amesema kuwa maisha ya wakenya itaimarishwa kupitia utekelezwaji wa miradi mbali mbali za maendeleo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *