Mazishi ya Mzee Moi Kufanyika Kabarak

Rais wa pili wa taifa mzee Daniel torotich atazikwa jumatano ijayo nyumbani kwake kabarak tarehe 12 Februari mwaka huu. Ibada ya mazishi ikitarajiwa kufanyika katika uwanja wa Michezo wa kasarani jjini Nairobi siku ya jumanne tarehe 11 Februari 2020.

 Hayo ni kwa mujibu wa mbunge wa Tiaty William kamket ambaye pia ni mwanakamati wa maandalizi ya mazishi ya rais mstaafu Daniel toroitich arap moi.  Haya yamejiri viongozi wa tabaka mbalimbali wakimininika katika makaazi ya kabarnet gardens jijini Nairobi kuomboleza pamoja na familia ya mwendazake rais mstaafu moi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *