Hospitali ya MTRH-Eldoret yapokea Vifaa vya kupambana na COVID-19

Hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi mjini Eldoret imepokea vifaa vya kukabili janga la Corona kutoka kwa serikali ya Marekani

Mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo Wilson Aruasa amesifia hatua hiyo kama yenye faida kwa wakaazi wa kaunti hii na kenya kwa ujumla katika kukabili janga hili hatari la corona.

Amesema kuwa vifaa hivyo vitasaidia pakubwa si kwa mwananchi pekee bali hata kwa wahudumu wa afya watakaojikinga kikamilifu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *