Wakaazi wa Pokot wapuuza Corona

Idara ya usalama pokot magharibi imelalamikia  ongezeko la wenyeji  wanaopuuza masharti ya kukabili virusi vya corona.

 Ocpd Julius Chumbule anasema wengi wa wenyeji  wa pokoti magharibi haswa maeneo ya mashinani  hawazingatii sheria hizo  licha ya mamia kutiwa mbaroni.

aidha ameahidi  kuendesha oparesheni kukabili maeneo  yanayokosa kuzingatia muda uliowekwa kuhudumu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *