Askofu Kimengich; kwaresima ni sala na toba

Askofu wa jimbo katoliki la Eldoret Dominic Kimengich ametoa wito kwa wakristu wa jimbo hilo kujikita katika sala na toba msimu wa mfungo wa kwaresima.

ametoa wito kwa wakristu wote wa jimbo kujitenga na mambo ambayo yatafifisha iamani yao iakisema kuwa huu ni wakati wa kila mmoja kutafuta upatanisho na mwenyezi Mungu na kamwe wasiyumbishwe na mambo ya dunia hii.

ametoa wito kwa kila mmoja kufahamu kuwa changamoto mbalimbalimbali wanazokumbana nazo katika maisha zina uwezo wa kupata suluhu kupitia kwa sala na wongofu wa moyo.

askofu Kimengich ametaoa wito kwa kila mmoja kujisadaka bila kujibakisha katika kipindi hiki cha kwaresima kwa kutenda matendo ya kiutu na kutafakari safari ya ukombozi ambayo ni mateso kifo na ufufuko kwa kristu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *