Nuncio; Kukabilian na Belua ni balaa

Mwakilishi wa Baba mtakatifu nchini na Sudan Kusini Mathews Hurbatus Maria Van Megen ametoa wito kwa kanisa kuzidisha mafunzo ya namna ya kukabiliana na changamoto zinazokumba jamii kwa sasa.

Mwakilishi huyo amesema kuwa mapadre wanastahili kuelimishwa zaidi ya namna ya kukabiliana na changamoto zinazikumba jamii kwa sasa katika majiundo yao, akisema kuwa ukosefu wa mbinu ya kukabiliana na changamoto hizo imepelekea mapadre wengi kupoteza waumini wengi, kwa kukosa tajiriba ya kukabiliana na chanagamoto hizo.

Amesema kuwa mapadre hao kadhalika hupitia misukosuko nyingi na ukosefu wa elimu bora ya kukabiliana nazo umepelekea wengi kupoteza maisha yao na hata kupoteza waumini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *